Mchezaji wa Jambo
Leo Juma Pinto akiumiliki mpira mbele ya mchezaji wa Free Media, Martin Malera
(kulia) wakati wa mchezo wao leo. (PICHA NA DOTTO MWAIBALE)
Baadhi ya
wachezaji wa akiba wa timu ya soka ya
Jambo Leo wakiwa
katika benchi lao wakifuatilia mchezo wa timu yao dhidi ya Free Media, katika
mashindano Vyombo vya Habari ya kuwania Kombe la NSSF, katika viwanja vya TCC
Club. Jambo Leo iliifunga Free Media magoli 8-1.
No comments:
Post a Comment