Mchungaji Andrew Kajembe wa Kanisa la Anglican la Kololeni, akizungumza wakati wa kukabidhi baiskeli hizo kwa watu wenye ulemavu, leo viwanja vya Makumbusho ya Azimio la Arusha, mijini humo. (Picha na Mpiga picha Wetu)
Elirusi Kaaya akikabidhiwa Baiskeli na Mstahiki Meya wa Arusha Gaudance Lyimo
Meya wa Arusha Gaudance Lyimo, akimkabidhi Robert Msele baiskeli zilizotolewa na Kampuni ya simu ya Tigo.
No comments:
Post a Comment