TANGAZO


Monday, March 26, 2012

TCIA na TUGHE Vyasaini mkataba mpya wa ushirikishwaji kazini

 Viongozi wakiwa meza kuu, wakiimba wimbo wa mshikamano kazini.


 Washiriki wa mkutano wakifuatilia kwa makini kikao.




 Viongozi wa TCIA na TUGHE wakisaini mkataba mpya wa ushirikishwaji kazini leo jijini Dar es Salaam.



 Viongozi wa TUGHE na TCCIA, wakiwa kwenye ukumbi wa mkutano huo.



 Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (TUGHE) , tawi la TCAA, Eugine Lwala (kushoto) na Katibu wake Maotola Miti wakisaini mkataba mpya wa ushirikishwaji wa wafanyakazi Machi 26.2012 kwenye ukumbi wa mikutano wa Osi ya TCAA jijini Dar es Salaam.(Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO).



 Mkurugenzi Mkuu wa TCAA, Fadhili Manongi (kulia) na Mwanasheria wa TCAA Valley Chamullungu, wakisaini mkataba mpya wa ushirikishwaji wa wafanyakazi kupitia Baraza la wafanyakazi na Chama cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (TUGHE), leo Machi 26,2012 katika Ukumbi wa Mkutano wa TCAA, jijini Dar es Salaam.



 Mwenyekiti wa tawi la TCAA (TUGHE),  Eugine Lwala (kushoto), akimkabidhi bahasha yenye mikataba mipya ya ushirikishwaji wa wafanyakazi kupitia Baraza la Wafanyakazi na TUGHE baada ya kusainiwa na baadhi ya viongozi wa TUGHE Taifa na TUGHE, TCIA Machi 26.2012.



Picha ya pamoja uongozi wa TUGHE Taifa na Uongozi wa TCIA, wakati wa mkutano huo.

No comments:

Post a Comment