TANGAZO


Monday, March 26, 2012

Sioi aivamia ngome ya Chadema, kampeni Arumeru Mashariki

 Mgombea wa CCM, Jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari akiomba kura kwa wananchi waliofurika kwenye mkutano wa kampeni za CCM, uliofanyika Maji ya Chai, jimboni humo, jana. Eneo hilo linadaiwa kuwa ndiyo ngome ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). (Picha na Bashir Nkoromo)




Mratibu wa kampeni za CCM, Mwigulu Nchemba akimnadi Sioi Sumari, kwenye mkutano huo.




 Wafuasi wa CCM wakishangilia wakati wa mkutano huo.





 Mwimbaji wa Kundi la Tanzania One Theatre (TOT), Khadija Kopa akihamasisha kwa wimbo wakati wa mkutano huo.




 Sioi akifuaria umati wa wananchi waliohudhuria kwenye mkuatano huo.



 Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde, 'akiwachana',  CHADEMA kwenye mkutano uliofanyika Maji ya Chai ambako inasemekana ni ngome ya chama hicho.





Sioi akiwapungia wananchi katika mkutano uliofanyika kwenye Viwanja vya Maji ya Chai, mara baada ya kumalizika mkutano wa kampeni.

1 comment:

  1. Sasa haya unayo yaposti wanasoma wanaccm tu au?mbona za chadema huweki?

    ReplyDelete