TANGAZO


Tuesday, March 27, 2012

Rais Shein akutana na ujumbe wa Wahadhiri wazalendo, waishio nje ya nchi

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Wahadhiri wa Kimataifa (wazalendo), walioshiriki katika warsha ya utayarishaji wa Mitaala ya masomo ya Uzamili na Uzamivu katika Kiswahili, ukiongozwa na Mwenyekiti wao Profesa Said Ahmed (kushoto) wa Ujerumani, walipofika Ikulu mjini Zanzibar leo. (Picha na Ramadhan Othman Ikulu)





Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa wahadhiri hao, ulipomtembea Ikulu, mjini Zanzibar leo. Wa pili kutoka kwa Rais Sheni ni Mwenyekiti wao Profesa, Said Ahmed wa Ujerumani.

No comments:

Post a Comment