Waziri Mkuu Mizengo Pinda,
akizungumza na waandishi wa habari, ofisini kwake, Dar es Salaam
leo, kuhusu tishio la mgomo wa Madaktari ambao walidai utaanza kesho ambapo
aliwataka kuwa wazalendo kwa kuusitisha ili kuepusha vifo vya Watanzania,
vitakavyosababishwa na mgomo huo. (Picha na Richard Mwaikenda)
No comments:
Post a Comment