Mkuu wa Jeshi la Ulinzi
na Usalama nchini, Davis Mwamunyange, akitoa mada leo katika Mkutano Mkuu wa
Maafisa Wakuu wa Jeshi la Polisi, unaoendelea katika Chuo cha Taaluma ya Polisi
Moshi, mkoani Kilimanjaro. (Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi)
Mkuu wa Jeshi la Ulinzi
na Usalama nchini, Davis Mwamunyange, akizungumza na Maofisa Wakuu wa Jeshi la
Polisi leo, baada ya kutoa mada katika mkutano wa Maofisa hao, unaoendelea katika
Chuo cha Taaluma ya Jeshi la Polisi Moshi, mkoani Kilimanjaro. Kushoto ni Mkuu wa Jeshi
la Polisi Said Mwema. (Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)
Mkuu wa Jeshi la Polisi
Said Mwema, akifafanua jambo leo katika Mkutano Mkuu wa Maofisa Wakuu wa
Jeshi hilo, unaoendelea katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi, mkoani
Kilimanjaro.(Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi)
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi
na Usalama nchini, Davis Mwamunyange, akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi
baada ya kutoa mada katika mkutano wa maafisa hao unaoendelea katika Chuo cha
Taaluma ya Polisi Moshi, mkoani Kilimanjaro. (Picha na Frank Geofray-Jeshi la
Polisi)
No comments:
Post a Comment