Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fabian Massawe akifungua mkutano wa wadau wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), mkoani humo jana. (Picha na Mpigapicha Wetu) |
Mjumbe wa Bodi ya NHIF, Profesa Joseph Shija, akitoa salamu za bodi kwa wadau wa Mfuko huo.
Wadau wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa na Uongozi wa NHIF kwenye mkutano huo.
Wadau wakifuatilia mada kwenye mkutano huo.
Baadhi ya wadau mbalimbali waliokuwa kwenye mkutano huo wakifuatilia mada zilizokuwa zikiwasilishwa kwenye mkutano.
No comments:
Post a Comment