TANGAZO


Tuesday, March 27, 2012

Mkutano wa Wadau wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Mwanza

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Evarist Mbigiro, akifungua mkutano wa wadau wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya jana. (Picha na Mpiga picha Wetu)

Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Emanuel Humba akitoa maelezo ya utangulizi kwa wadau.

 
Mwenyekiti wa Bodi ya NHIF, Ntunkamazina akisisitiza jambo kwa wadau wa Mfuko huo.

Mjumbe wa Bodi ya NHIF, akijibu maswali ya wadau.

Mkuu wa Mkoa na Mkurugenzi Mkuu wa NHIF wakiteta jambo.

Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Mfuko Eugen Mikongoti (wa kwanza kushoto), akiwa na Wadau wa NHIF katika mkutano huo.
 
Mwanachama wa NHIF akitoa ushuhuda kwa wadau wa Mfuko huo namna Mfuko ulivyomsaidia kwa matibabu ya wategemezi wake.

Mkurugenzi wa Uendeshaji akiwa na Mkurugenzi wa Takwimu na Utafiti, Michael Mhando wakiwajibika kabla ya kuanza mkutano.

No comments:

Post a Comment