TANGAZO


Friday, March 30, 2012

Mkapa Arudi tena Arumeru


Rais na Mwenyekiti mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Benjamin Mkapa (kulia), akiwa kwenye chumba cha kufikia wageni maalum (VIP), Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), baada ya kupokewa na Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama (wa pili kushoto), leo asubuhi. Wa pili kulia ni Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye. (Picha na Bashir Nkoromo)

No comments:

Post a Comment