Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowass (katikati) akiwasili katika viwanja vya Kikatiti, Jimbo la Arumeru Mashariki kwenye mkutano wa kumpigia kampeni mgombea ubunge wa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Sioi Sumari, ambaye ni mkwewe, leo jimboni Arumeru Mashariki. (Picha zote na Mpigapicha Wetu)
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa (kushoto) akimnadi mgombea ubunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Sioi Sumari katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika viwanja vya Kikatiti. Uchaguzi unafanyika Jumapili.
Rais wa mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, akiwasalimia wananchi kwa mtindo wa kuonesha dole.
Rais wa mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa (kushoto) na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa (kulia), wakiwa kwenye mkutano huo.
No comments:
Post a Comment