TANGAZO


Monday, March 19, 2012

Kampeni za Sioi zaingia vijiji vya Leguruki na Shishton

 Mgombe Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari, akisalimiana na wazee wa kijiji cha King'ori.

 Mgombea Ubunge wa CCM katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari, akisalimiana na akinamama pamoja na wazee wa kijiji cha King'ori.


  Sioi akisalimiana na wanachama pamoja na wapenzi wa CCM, alipowasili katika kijiji cha Shiston kuhutubia mkutano wa kampeni. Wa pili kushoto ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Uchumi na Fedha, Mwigulu Nchemba.


  Wananchi wa kijiji cha Shishton wakimsikiliza Sioi, wakati alipokuwa akizungumza katika mkutano wa hadhara kijijini hapo.

  Wanachama na wapenzi wa CCM wa kijiji cha Leguruki, wakimkaribisha Sioi.

Wanachama na wapenzi wa CCM wa kijiji cha Leguruki
wakinyanyua mikono kuonesha kumkubali Sioi.


  MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Oganaizesheni, Asha Abdallah Juma 'Msure"akihutubia mkutano wa kampeni katika kijiji cha Leguruki.


   akihutubia mkutano wa kampeni katika kijiji cha Leguruki.


  Mjumbe wa NEC ya CCM na Mlezi wa CCM wa mkoa wa Arusha, Stephen Wassira,akihutubia mkutano wa kampeni katika kijiji cha Leguruki.


 Wasira na Nchemba, wakimkabidhi kwa wananchi mgombea wa CCM, Sioi, wakati wa mkutano wa kampeni katika kijiji cha Leguruki.


Mgombea Sioi  wa CCM,  Soi akizungumza, wakati wa mkutano wa kampeni katika kijiji cha Leguruki jana.

No comments:

Post a Comment