Habari moto moto kutoka mtandao wa klabu ya Chelsea inayocheza katika Ligi kuu ya England,zasema kua klabu hio imeachana na kocha Andre Villas-Boas leo jumapili.
Kocha huyo mwenye umri wa miaka 34 amepoteza kazi hio saa 24 baada ya kupoteza jana pambano la Ligi dhidi ya klabu ya West Bromwich Albion 1-0.Tangazo la Chelsea limesema kua aliyekua naibu wa Kocha huyo Roberto Di Matteo atashikilia wadhifa wa Kocha hadi mwisho wa msimu.
No comments:
Post a Comment