Waandaaji wa Tuzo za Teknolojia, Ubora na
Ugunduzi, Otherways Association ya Ufaransa, wakiwa katika hafla ya utoaji wa
tuzo jijini Berlin, Ujerumani, Hoteli ya Intercontinental. (Picha zote na Mpigapicha Wetu)
Washiriki katika utoaji wa tuzo hiyo
kutoka Tanzania, Viola Lema (kulia) na Lulu Komanya wa Kampuni ya Cargostars ya
jijini Dar es Salaam, wakiwa katika hafla hiyo.
Baadhi ya washiriki wa tuzo hizo, wakiwa
katika hafla hiyo.
Baadhi ya washiriki kutoka nchi na
makampuni mbalimbali wakiwa katika hafla hiyo.
Washiriki kutoka Tanzania, Kenya na
Poland, wakiwa na Rais wa Kampuni iliyoandaa tuzo hizo, Charles Tabet (wa tatu
kushoto) pamoja na tuzo zao.
Baadhi ya washiriki kutoka baadhi ya nchi
zilizotunukiwa tuzo hizo, wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa hafla hiyo.
Washiriki waliotunukiwa tuzo hizo wakiwa
katika picha ya pamoja, mara baada ya kukabidhiwa tuzo hizo.
Mwakilishi wa Kampuni ya Cargostars
Limited, Viola Lema, akitoa maelezo mafupi kuhusu kampuni yao hiyo wakati wa hafla hiyo.
|
Mwakilishi wa Kampuni ya Cargostars
Limited, Viola Lema, akipokea cheti cha Ubora katika shughuli za Huduma bora
kwa wateja kutoka kwa Rais wa Kampuni iliyoandaa tuzo hizo, Charles Tabet.
Baadhi ya waliotunukiwa vyeti hivyo,
wakionesha vyeti vyao.
Washiriki waliotunikiwa vyeti wakiwa
katika picha ya pamoja na vyeti vyao kwenye hafla hiyo.
Rais wa Kampuni iliyoandaa tuzo hizo,
Charles Tabet, akiwa ameshikilia tuzo aliyotunukiwa na baadhi ya Makampuni
yaliyotunukiwa tuzo hizo.
Mtunukiwa tuzo kutoka Misri, Eng. Wahid
Michel wa Kampuni ya AL AMAR Consulting Group.
No comments:
Post a Comment