Katibu
wa Mtandao wa Asasi za Kiraia
wilayani Bagamoyo (BANGONET), Leonard Peter, akizungumza na waandishi wa
habari, Dar es Salaam leo, kuhusu mtandao huo, unavyotoa huduma za kuwaelimisha wananchi wa Majimbo ya Wilaya hiyo, katika kuwapatia elimu ya
Katiba ya Tanzania, pia kuwatayarisha kwa kutoa maoni yao juu ya Katiba mpya.
Kulia ni Mwenyekiti wa Mtandao huo,Marie Cidosa. (Picha zote na Kassim Mbarouk)
Waandishi wakinukuu maelezo ya viongozi wa mtandao wa asasi hizo (BANGONET)
Mwenyekiti wa Mtandao wa Asasi za Kiraia
wilayani Bagamoyo (BANGONET), Marie Cidosa, akitoa ufafanuzi jambo kwa waandishi wa
habari, katika mkutano huo jijini Dar es Salaam leo.
Kutoka kushoto ni Mweka Hazina, Asha Majaliwa, Mhasibu Rajabu Kasonta na Katibu
wa mtandao, Leonard Peter.
Baadhi ya waandishi wa habari waliokuwepo kwenye mkutano huo, wakifuatilia kwa makini maelezo ya viongozi wa mtandao hao.
No comments:
Post a Comment