Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk. Terezya Huvisa, akizungumza na Balozi Mpya wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Filiberto Ceriani Sebregondi alipokwenda kujitambulisha kwa waziri,leo Mtaa wa Luthuli, mjini Dar es Salaam. (Picha na Ali Meja)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dk. Terezya Huvisa akimsindikiza Balozi Mpya wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Filiberto Ceriani mara baada ya kujitambulisha ofisini kwa Waziri Mtaa wa Luthuli Mjini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment