Mchezaji Haruna Moshi (kushoto) wa Simba, akichuana
na Sunday Paul wa JKT Orljoro katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara,
kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Haruna maarufu kwa jina la Boban
alitolewa kwa kadi nyekundu baada ya kumpiga kiwiko mchezaji wa Orjoro. (Picha na Richard Mwaikenda)
Kikosi cha Simba, kilichopambana na Orjoro leo.
Simba imeshinda mabao 2-0


No comments:
Post a Comment