TANGAZO


Friday, February 3, 2012

Rais Kikwete, akutana na Viongozi wa Baraza la NGOs Ikulu jijini

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akikutana na viongozi wa Baraza la Taifa la NGOs, Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 3, 2012, kuhusuu mazungumzo ya mchakato wa Katiba.


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na viongozi wa Baraza la Taifa la NGOs, walipomtembelea Ikulu, Dar es salaam leo, Februari 3, 2012, kwa mazungumzo juu ya mchakato wa Katiba.


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wa Baraza la Taifa la NGOs Ikulu, Dar es salaam leo, Februari 3, 2012, wakizungumza kuhusiana na mchakato wa Katiba.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akipokea mapendekezo ya Baraza la Taifa la NGOs, Ikulu jijini Dar es Salaam leo Februari 3, 2012, yahusuyo mchakato wa Katiba mpya nchini.


No comments:

Post a Comment