Bondia Abdallah Mohamed 'Prince Naseem' (kulia), akifuliwa na kocha wake msaidizi, Rajabu Rashid, wakati wa mazoezi yake, yanayoendelea kwenye ufukwe wa bichi ya Mtoni Kijichi, Dar es Salaam leo, kwa ajili ya kutetea ubingwa wake dhidi ya Saleh Mkalekwa, Februari 24, jijini Dar es Salaam. (Picha na Super D, Mnyamwezi)
Bondia Saleh Mkalekwa, akijifua kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa wa PST na Abdalah Mohamed 'Prins Naseem', utaofanyika Februari 24. (Picha na Super D, Mnyamwezi)
No comments:
Post a Comment