TANGAZO


Sunday, February 5, 2012

Rais Jakaya Kikwete, aongoza matembezi ya Mshikamano ya CCM, Mwanza

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, mkewe Mama Salma, wakiongoza matembezi ya mshikamano kutoka Ofisi ya CCM, Mkoa wa Mwanza hadi Viwanja vya Furahisha jijini humo, leo asubuhi, akiwa na viongozi wa ngazi ya juu wa chama hicho.

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwasili Ofisi ya CCM, Mkoa wa Mwanza, kuongoza matembezi ya mshikamano kwa ajili ya maadhimnisho ya miaka 35 ya Chama.  Anayempokea ni Makamu Mwenyekiti Bara, Pius Msekwa. Wengine ni Spika wa Bunge, Anna Makinda, ambaye ni Mlezi wa Chama mkoani humo, Katibu Mkuu, Wilson Mukama pamoja na Rais Kikwete ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza Clement Mbina na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Evarist Ndikillo. (Picha na Bashir Nkoromo)


.Rais Kikwete akimsalimiana na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye kabla ya matembezi hayo.

No comments:

Post a Comment