Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu
(kushoto), akijadiliana jambo na Mbunge wa Kigoma Kusini, Davida Kafulila mara
baada ya kuahirishwa kwa kikao cha kwanza cha Mkutano wa Sita wa Bunge la Jamhuri, mjini
Dodoma leo.
Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu akijadiliana jambo
na Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Christopher Chiza mara baada ya
kuahirishwa kwa kikao cha kwanza cha Mkutao wa sita wa Bunge mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Anne Makinda akisalimiana na
Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo, mara baada
ya kukiahirisha kikao cha kwanza cha Mkutano wa sita wa Bunge mjini humo.
Spika
wa Bunge, Anne Makinda akitoka ndani ya ukumbi wa Bunge baada ya kuahirisha
kikao cha kwanza cha Mkutano wa Sita wa Bunge la Tanzania mjini Dodoma
leo.

No comments:
Post a Comment