TANGAZO


Tuesday, January 17, 2012

Rais Kikwete, azindua daraja la Mtombozi Morogoro

 

 


Rais Jakaya Kikwete, akitembelea Morogoro Vijijini na kuzindua madaraja mawili makubwa katika mto Mtombozi, Matombo, na mto Magogoni katika barabara ya Kiganila-Mvuha, pia ameweka jiwe la msingi la soko la kijiji cha Mtamba na kukagua ujenzi wa barabara sehemu ya Kisaki, Msalabani. (Picha na Ikulu) 

 

Rais Jakaya Kikwete, akiongea baada ya kuzindua daraja la mto Mtombozi tarafa ya Matombo, Wilaya ya Morogoro mjini leo January 17, 2012.
 
 



Rais Jakaya Kikwete na ujumbe wake pamoja na wenyeji, wakipita juu ya daraja jipya la Mtombozi, Matombo, Morogoro Vijijini mara baada ya kulizindua leo.



Rais Jakaya Kikwete na ujumbe wake na  pamoja wenyeji wakipita juu ya daraja jipya la Mtombozi, Matombo, Morogoro vijijini alilolizindua.

Rais Jakaya Kikwete, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera (kushoto) pamoja na wananchi, wakivuka daraja jipya la Magogoni katika barabara ya Kiganila - Mvuha, Morogoro Vijijini baada ya kulizindua leo.

No comments:

Post a Comment