TANGAZO


Monday, January 9, 2012

Rais Kikwete akutana na Waziri wa Gambia

    Rais Jakaya Kikwete, akiwa na Waziri wa Uvuvi, Maliasili na Bunge wa Gambia, ambaye ni  Mjumbe Maalumu wa Rais Yahya Jammeh, Lamin Kaba, aliyemletea ujumbe toka kwa Rais huyo, Ikulu, Dar es Salaam leo, Januari 9, 2011. (Picha Ikulu)

No comments:

Post a Comment