Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,
Lucy Nkya, akizungumza na waandishi wa habari, wakati alipokuwa akitoa
ufafanuzi kuhusu mgogoro wa Madaktari walio katika mafunzo, Dar es Salaam jana.
Katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara, Blandina Nyoni na kushoto ni Mganga Mkuu wa
Serikali, Deo Mtasiwa. (PICHA NA KASSIM MBAROUK)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi
wa Jamii, Blandina Nyoni, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, Dar es
Salaam jana, wakati Naibu wa Wizara hiyo, Lucy Nkya (kulia), alipokuwa akitoa
ufafanuzi kuhusu mgogoro wa Madaktari walio katika mafunzo nchini. (PICHA NA
KASSIM MBAROUK)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Blandina Nyoni akijadiliana jambo na Mganga Mkuu wa Serikali, Deo Mtasiwa, wakati Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Lucy Nkya, alipokuwa akitoa ufafanuzi wa kuhusu mgogoro wa Madaktari walio katika mafunzo, Dar es Salaam leo asubuhi.
No comments:
Post a Comment