Wananchi wa Ifakara, wakiandamana alfajiri leo, kwa ajili ya kuupokewa mwili wa marehemu Regia Mtema, ulipowasili kutoka Dar es Salaam leo asubuhi. |
Baadhi ya waombolezaji wakazi wa Ifakara na vitongoji vyake pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria katika msiba huo, wakisubiri taratibu za mazishi. |
Baadhi ya viongozi mbalimbali wa Chadema pamoja na wakazi wa Ifakara, wakiwa wamekaa nyumbani kwao, marehemu Regia Mtema, wakisubiri taratibu za mazishi mjini Ifakara leo. |
No comments:
Post a Comment