TANGAZO


Wednesday, January 18, 2012

Mwalimu wa Makipa, James Kisaka akiwafua makipa wa Simba

Mwalimu wa makipa wa timu ya Simbam, James Kisaka, akimnoammoja wa makipa wa imu hoyo, Ally Mustafa 'Bertez' kwenye mazoezi hayo; leo jioni.




 Jum Kaseja akimwangalia mmoja wa magolikipa wenzake, kwenye mazoezi hayo.


 
Mmoja wa makipa chipukizi wa timu hiyo, akichupa kuudaka mpira uliorushwa na Mwalimu James Kisaka (hayupo pichani), kwenye mazoezi hayo, leo jioni.

No comments:

Post a Comment