Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiangalia ukuta unaozuia maji ya bahari eneo la Pangani Kivukoni, unaozidi kubomoka kutokana na kujengwa miaka 100, iliyopita na kutishia amani kwa wakazi wa maeneo hayo. Makamu wa Rais ameanza ziara yake ya Mkoa wa Tanga leo, Januari 24, 2012.
Makamu wa Rais, Dk. Mohamed GHarib Bilal, akioneshwa moja ya sehemu ya ukuta huo uliovunjika unaoitishia usalama wa wakazi wa eneo hilo.
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na baadhi ya Viongozi wa Wilaya ya Pangani wakati akitoka kukagua ukuta wa kuzuia maji ya bahari unaobomoka, Pangani Kivukoni.
No comments:
Post a Comment