TANGAZO


Tuesday, January 10, 2012

Jukwaa la Sanaa

 Mkurugenzi Idara ya Ukuzaji Sanaa BASATA, Vivian Nsao Shalua, akizungumza na wadau wa Sanaa katika Jukwa la Sanaa linalofanyika kila wiki Makao Makuu ya baraza hilo. Kulia ni Ofisa Habari wa BASATA Aristide Kwizela.



 Mdau wa Sanaa akichangia kwa hisia kali wakati wa mjadala uliohusu matukio na matamasha mbalimbali ya Sanaa na burudani nchini kwenye Jukwaa la Sanaa.
 


 Mkurugenzi wa Idara ya Mfuko na Uwezeshaji, BASATA, Angelo Luhala, aksisitiza jambo wakati alipokuwa akieleza haja ya wasanii kudai mikataba kabla ya kushiriki tukio au onyesho lolote la Sanaa.




No comments:

Post a Comment