TANGAZO


Friday, January 27, 2012

Cheka, Nyilawila wapima uzito, kutwangana kesho

Mabondia Kalama Nyilawila (kushoto) na Francis Cheka, wakikunjiana  ngumi, mara baada ya kupimauzito, mjini Morogoro leo, kwa ajili ya mpambano wao, utakaofanyika katika Uwanja wa Jamhuri kesho. (Picha na Super D, Mnyamwezi)

No comments:

Post a Comment