Mkurugenzi Mtendaji wa Covenant Bank, Sabetha Mwambenja, akizungumza katika mkutano Mkuu wa Chama cha Ushirika wa Wavuvi Tanzania, waliokutana kujadili namna ya kuwasaidia wavuvi na kujiunga Bima ya ajari na Bima ya Afya kupitia benki hiyo, Dar es Salaam juzi, Pamoja nae ni Kaimu Mrajisi Msaidizi wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania, Bahati Rukiko(katikati)na Ofisa Ushirika wa Manispaa ya Kigamboni, Martin Mwela.

Baadhi y Wavuvi wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Covenant, Sabetha Mwambenja, katika mkutano wa wavuvi zaidi ya miatano nchi nzima wa kujadili namna ya kuwasaidia na kujiunga Bima ya Afya kupitia benki hiyo, Dar es Salaam juzi.
No comments:
Post a Comment