TANGAZO


Tuesday, March 1, 2016

Zika inasababisha kupooza


Image captionMtoto aliyeambukizwa Zika anazaliwa na kichwa kidogo

Utafiti mpya,umetoa ushahidi kuonyesha kwamba virusi vya Zika vinaweza kuathiri vibaya kinga ya mwili.Utafiti huo ulifanywa miongoni mwa watu waliougua Zika miaka miwili iliyopita eneo moja la Ufaransa.
Iligunduliwa baadhi ya wagonjwa walipooza na hata baadhi wakafariki dunia kutokana na maambukizi ya Zika.

Image copyrightAP
Image captionUtafiti mpya unaonyesha Zika inasababisha kupooza na hata kuua

Virusi hivyo ambavyo vimesambaa kwa kasi kanda ya Amerika Kusini vimelaumiwa kusababisha dosari za kimaumbile hasa ukuaji wa ubongo kwa watoto wanaozaliwa.
Utafiti mpya umechapishwa na jarida la afya la Lancet.

No comments:

Post a Comment