Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFFA) Simon Mwakifamba (kulia) akimtambulisha msanii Elizabeth Michael (Lulu) wakati wa hafla kumkabidhi Mhe. Waziri Mkuu Tuzo walizoshinda nchini Nigeria jana, jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura Majaliwa akipokea Tuzo kutoka kwa msanii wa Bongo Movie Single Mtambalike (Richie) wakati wa hafla fupi iliyofanyika katika ukumbi wa ofisi ya Waziri Mkuu jana jijini Dar es Salaam.Tuzo hiyo ya Africa Magic Viewers Choice ambapo Filamu ya Kitendawili imeibuka kidedea kwa kuwa Filamu bora ya Kiswahili barani Afrika.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akipokea Tuzo kutoka kwa msanii wa Bongo Movie Elizabeth Michael (Lulu) wakati wa hafla fupi iliyofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu jana jijini Dar es Salaam.Tuzo hiyo ya Africa Magic Viewers Choice ambapo Filamu ya Kitendawili imeibuka kidedea kwa kuwa Filamu bora ya Kiswahili barani Afrika.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo akipokea Tuzo kutoka kwa msanii wa Bongo Movie Single Mtambalike wakati wa hafla fupi iliyofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu jana jijini Dar es Salaam. Tuzo hiyo ya Africa Magic Viewers Choice. ambapo Filamu ya Kitendawili imeibuka kidedea kwa kuwa Filamu bora ya Kiswahili baraniAfrika.
Kutoka kulia ni Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura, Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Elisante Ole Gabriel na Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo wakifurahia jambo wakati wa hafla ya kumkabidhi Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Kassim Majailiwa (hayupo pichani) Tuzo za Filamu za Africa Magic Viewers Choice kutoka kwa wasanii Single Mtambalike (Richie) na Elizabeth Michael (Lulu) jana jijini Dar es Salaam. Tuzo hizo ni Filamu Bora ya Lugha ya Kiswahili Barani Afrika aliyoshinda Single Mtambalike naFilamu Bora Afrika Mashariki kupitia filamu ya Mapenzi ya Mungu.
Mratibu wa Tamasha la Filamu la Tanzanite Said Assas akiwa pamoja na baadhi ya wasanii wakifuatilia hotuba ya Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa wakati wa hafla ya kumkabidhi Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Kassim Majailiwa (hayupo pichani) Tuzo za Filamu za Africa Magic Viewers Choice kutoka kwa wasanii Single Mtambalike (Richie) na Elizabeth Michael (Lulu) jana jijini Dar es Salaam. Tuzo hizo ni Filamu Bora ya Lugha ya Kiswahili Barani Afrika aliyoshinda Single Mtambalike kupitia filamu ya “Kitendawili” na Filamu Bora Afrika Mashariki kupitia filamu ya Mapenzi ya Mungu.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Kassimu Majaliwa akipokea Tuzo kutoka kwa msanii wa Bongo Movie Elizabeth Michael (Lulu) katika hafla fupi iliyofanyika katika ukumbi wa Waziri Mkuu leo jijini Dar es Salaam.Anayeshuhudia ni Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura.Tuzo ya Africa Magic Viewers Choice ambapo amekuwa msanii bora wa Kike wa Afrika Mashariki kupitia filamu ya Mapenzi ya Mungu.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Majaliwa Kassimu Majaliwa akipokea Tuzo kutoka kwa msanii wa Bongo Movie Single
Mtambalike (Richie) wakati wa hafla fupi iliyofanyika katika ukumbi wa Waziri
Mkuu leo jijini Dar es Salaam.Tuzo hiyo ya Africa Magic Viewers Choice ambapo Filamu
ya Kitendawili imeibuka kidedea kwa kuwa Filamu bora ya Kiswahili barani
Afrika.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Majaliwa Kassimu Majaliwa akisalimiana na Mratibu wa Tamasha la Fila la
Tanzanite Said Assaswalipokuta leo jijini Dar es Salaam wakati wa hafla fupi ya
kukabidhiwa Tuzo kutoka kwa wasanii Single Mtambalike na Elizabeth Michael
(Lulu).Tuzo hizo za Africa Magic Viewers Choice ambapo Filamu ya Kitendawili
imeibuka kidedea kwa kuwa Filamu bora ya Kiswahili barani Afrika huku Lulu
akiibuka kuwa Msanii wa Kike Afrika Mashariki kupitia filamu ya Mapenzi ya
Mungu.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Kassimu Majaliwa (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na wasanii walioshinda Tuzo wakati wa hafla ya kumkabidhi Mhe Waziri Mkuu Tuzo za Filamu za Africa Magic Viewers Choice kutoka kwa wasanii Single Mtambalike (Richie) na Elizabeth Michael (Lulu) jana jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Rais wa Shirikisho la vyama vya Filamu Tanzania (TAFFA) Simon Mwakifamba, Profesa Elisante Ole Gabriel, Single Mtambalike, Elizabeth Michael, Naibu Waziri Mhe. Annastazia James Wambura na Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania.
Baadhi ya wadau wafilamu wakifurahia wakati wa hafla fupi iliyofanyika katika ukumbi wa Waziri Mkuu jana jijini Dar es Salaam.Tuzo hiyo ya Africa Magic Viewers Choice ambapo Filamu ya Kitendawili imeibuka kidedea kwa kuwa Filamu bora ya Kiswahili barani Afrika.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Majaliwa Kassimu Majaliwa akiwa katika
picha ya pamoja na viongozi wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na
wasanii wakati wa hafla ya kumkabidhi Mhe Waziri Mkuu Tuzo za Filamu za Africa
Magic Viewers Choice kutoka kwa wasanii Single Mtambalike (Richie) na Elizabeth
Michael (Lulu) jana jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Frank Shija, WHUSM)














No comments:
Post a Comment