Benki kuu ya Nigeria
Benki kuu ya Nigeria imesema kuwa baadhi ya matajiri nchini humo wameficha dola bilioni 20 katika akunti zao za kubadilishana fedha za kigeni.
Gavana wa Benki Godwin Emefiele amewaambia mawakili kwamba ufichaji huo unatishia thamani ya sarufu ya Nigirea,Naira.Onyo hilo linajiri huku serikali na benki kuu zikijaribu kudumisha thamani ya sarufi hiyo ambayo kwa sasa inabadilishana Naira 200 kwa dola moja.
Bwana Emefiele pia amedai kwamba watu fulani wanaharibu thamani ya Nair kupitia uvumi.

Kushuka kwa bei ya mafuta kumepunguza hifadhi ya fedha za kigeni za taifa hilo.

No comments:
Post a Comment