TANGAZO

Friday, March 6, 2015

Tanesco, helios tower Africa kushirkiana kibiashara

Naibu Mkurugenzi Mtendaji, Usambazaji na Huduma kwa wateja wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Sophia Mgonja, akiwasiliasha mada kuhusu shirika hilo, kiutendaji wakati wa warsha ya pamoja na kampuni ya helios tower Afrika, jijini Dar es Salaam leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Naibu Mkurugenzi Mtendaji, Usambazaji na Huduma kwa wateja wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Sophia Mgonja, akiwasiliasha mada kuhusu shirika hilo, kiutendaji wakati wa warsha ya pamoja na kampuni ya helios tower Afrika, jijini Dar es Salaam leo.
Naibu Mkurugenzi Mtendaji, Usambazaji na Huduma kwa wateja wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Sophia Mgonja, akizungumza na waandishi wa habari, wakati wa warsha hiyo jijini leo.
Naibu Mkurugenzi Mtendaji, Usambazaji na Huduma kwa wateja wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Sophia Mgonja, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo kuhusu ushirikiano wao na Kampuni ya helios Africa, wakati wa warsha hiyo jijini leo.

Baadhi ya washiriki wa warsha hiyo, wakimsikiliza Naibu Mkurugenzi Mtendaji, Usambazaji na Huduma kwa wateja wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Sophia Mgonja, wakati alipokuwa akiwasilisha mada kuhusu shirika hilo wakati wa warsha hiyo na Kampuni ya helios Africa, jijini leo.
Baadhi ya washiriki wa warsha hiyo, kutoka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), wakimsikiliza Naibu Mkurugenzi Mtendaji, Usambazaji na Huduma kwa wateja wa Tanesco, Sophia Mgonja, wakati alipokuwa akiwasilisha mada kuhusu shirika hilo wakati wa warsha hiyo na Kampuni ya helios Africa, jijini leo

Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Montage, wakifuatili na kuratibu warsha hiyo.
Mkurugenzi wa Biashara wa Kampuni ya minara ya mawasiliano ya helios towers Africa, Alexander Leigh, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu ushirikiano wao wa kibiashara, kati ya kampuni hiyo na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), wakati wa kongamano lao la uhusiano lililofanyika ukumbi wa Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere jijini leo. Kushoto ni Naibu Mkurugenzi Mtendaji, Usambazaji na Huduma kwa wateja wa Tanesco,  Sophia Mgonja. 

No comments:

Post a Comment