TANGAZO


Wednesday, March 4, 2015

Balozi wa Marekani nchini Tanzania amtembelea Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Balozi wa Marekani nchini Tanzania Bw. Mark Childress akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Leo Jijini Dar es Salaam.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju (mwenye tai nyekundu) akiwa katika picha ya pamoja na balozi   wa Marekani nchini Tanzania Bw. Mark Childress(wa pili kulia) mara baada ya mazungumzo. 
   Balozi wa Marekani nchini Tanzania Bw. Mark Childress akimuaga Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju alipomtembelea Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Leo Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment