TANGAZO


Monday, September 1, 2014

Warembo wa Redd's Miss Ilala wamtembelea Meya wa Ilala, Jerry Silaa ofisini kwake

Mmoja wa waratibu wa shindano la Redd's Miss Ilala 2014, Juma Mabakila (kushoto), akizungumza na warembo hao leo, kabla ya kukutana na Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa ofisini kwake kwa ajili ya kuzungumza nao masuala mbalimbali ya kikazi na kitamaduni. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mmoja wa waratibu wa shindano la Redd's Miss Ilala 2014, Juma Mabakila (kushoto), akizungumza na warembo hao leo, kabla ya kukutana na Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa ofisini kwake kwa ajili ya kuzungumza nao masuala mbalimbali ya kikazi na kitamaduni.
Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (kushoto), akizungumza na washiriki wa shindano la Redd's Miss Ilala, wakati walipokwenda kumtembelea ofisini kwake, Dar es Salaam leo. Wakwanza kulia ni William Malecela. 
Baadhi ya warembo wa shindano la Redd's Miss Ilala 2014, wakifurahia jambo, wakati wakimsikiliza Meya wa Manispaa ya Ilala, Jeryy Silaa, alipozungumza nao, walipomtemelea ofisini kwake, jijini Dar es Salaam leo.
 Baadhi ya warembo wa shindano la Redd's Miss Ilala 2014, wakifurahia jambo, wakati wakimsikiliza Meya wa Manispaa ya Ilala, Jeryy Silaa, alipozungumza nao, walipomtemelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya warembo wa shindano la Redd's Miss Ilala 2014, wakifurahia jambo, wakati wakimsikiliza Meya wa Manispaa ya Ilala, Jeryy Silaa, alipozungumza nao, ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.
Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (kushoto), akizungumza na washiriki wa shindano la Redd's Miss Ilala, wakati walipomtembelea ofisini kwake, Dar es Salaam leo. Wakwanza kulia mmoja wa waratibu wa shindano hilo, William Malecela.
 Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa, akizungumza na washiriki wa shindano la Redd's Miss Ilala 2014, walipomtembelea ofisini kwake, Dar es Salaam leo. 
Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (kulia), akizungumza na washiriki wa shindano la Redd's Miss Ilala 2014, wakati walipomtembelea ofisini kwake, Dar es Salaam leo. Wakwanza kushoto na wapili kulia ni Waratibu wa shindano hilo, Juma Mabakila na William Malecela. 
Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (kulia), akizungumza na washiriki wa shindano la Redd's Miss Ilala 2014, walipomtembelea ofisini kwake, Dar es Salaam leo. 
 Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (kulia), akizungumza na washiriki wa shindano la Redd's Miss Ilala 2914, walipomtembelea ofisini kwake, Dar es Salaam leo. Wakwanza kushoto na wapili kulia ni Waratibu wa shindano hilo, Juma Mabakila na William Malecela.
Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (kushoto), akizungumza na washiriki wa shindano la Redd's Miss Ilala 2014, walipomtembelea ofisini kwake, Dar es Salaam leo. 
Baadhi ya warembo wa shindano la Redd's Miss Ilala 2014, wakimsikiliza Meya wa Manispaa ya Ilala, Jeryy Silaa (hayupo pichani), wakati alipozungumza nao, walipomtemelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.
Mmoja wa washiriki wa shindano la Redd's Miss Ilala 2014, akitoa neno la shukurani kwa Meya wa Manispaa ya Ilala, mara baada ya kumtembelea na kuzingumza nao, ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam. 
Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa shindano la Redd's Miss Ilala, wakati walipokwenda kumtembelea ofisini kwake, Dar es Salaam leo.
Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa shindano la Redd's Miss Ilala, wakati walipokwenda kumtembelea ofisini kwake, Dar es Salaam leo.
Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (watatu kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa shindano la Redd's Miss Ilala, walipokuwa wakipiga picha kwa simu ya Selfy, walipomtembelea ofisini kwake, Dar es Salaam leo.
Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa, akiagana na warembo wa shindano la Redd's Miss Ilala, mara baada ya kumtembelea ofisini kwake, Dar es Salaam leo.
Washiriki wa shindano la Redd's Miss Ilala, wakipiga picha ya pamoja, mara baada ya kumtembelea Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (hayupo pichani), ofisini kwake, Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment