TANGAZO


Tuesday, September 2, 2014

Filamu ya Ughaibuni kuzinduliwa kesho kutwa Alkhamis Leaders Club jijini Dar es |Salaam

Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu uzinduzi wa filamu ya Mateso Ughaibuni, iliyorekodiwa nchini Uingereza, unaofanyika viwanja vya Leaders Club, jijini kesho kutwa. Katikati ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Dida Fasion, waandaaji wa filamu hiyo, Khadija Seif na kushoto ni mmoja wa wasanii watakao tumbuiza kwenye uzinduzi huo, Flora Mvungi. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu uzinduzi wa filamu ya Mateso Ughaibuni, iliyorekodiwa nchini Uingereza, unaofanyika viwanja vya Leaders Club, jijini kesho kutwa. Katikati ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Dida Fasion, waandaaji wa filamu hiyo, Khadija Seif na kushoto ni mmoja wa wasanii watakaotumbuiza kwenye uzinduzi huo, Flora Mvungi.
Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere (katikati), akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu uzinduzi wa filamu ya Mateso Ughaibuni, iliyorekodiwa nchini Uingereza, unaofanyika viwanja vya Leaders Club, jijini kesho kutwa. Kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Dida Fasion, waandaaji wa filamu hiyo, Khadija Seif na kulia ni msanii wa Bongo Movie, Esha Salim Buhet.
Mwandaaji wa filamu ya Mateso Ughaibuni, iliyorekodiwa nchini Uingereza, Mkurugenzi wa Kampuni ya Dida Fasion, Khadija Seif (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu uzinduzi wa filamu hiyo, unaofanyika viwanja vya Leaders Club, jijini kesho kutwa. Wapili kushoto ni Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere, msanii wa Bongo Movie, Esha Salim Buhet na Mratibu wa filamu hiyo, Husna Chobis.
Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa katika hafla hiyo.
Mwandaaji wa filamu ya Mateso Ughaibuni, iliyorekodiwa nchini Uingereza, Mkurugenzi wa Kampuni ya Dida Fasion, Khadija Seif (katikati), akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu uzinduzi wa filamu hiyo, unaofanyika viwanja vya Leaders Club, jijini kesho kutwa. Kulia ni Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere na kushoto ni mmoja wa wasanii watakaotumbuiza kwenye uzinduzi huo, Flora Mvungi.
Mwandaaji wa filamu ya Mateso Ughaibuni, iliyorekodiwa nchini Uingereza, Mkurugenzi wa Kampuni ya Dida Fasion, Khadija Seif (katikati), akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu uzinduzi wa filamu hiyo, unaofanyika viwanja vya Leaders Club, jijini kesho kutwa. Kulia ni Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere na kushoto ni mmoja wa wasanii watakaotumbuiza kwenye uzinduzi huo, Flora Mvungi.
Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere, akizungumza na waandishi wa habari, jijini leo, kuhusu uzinduzi wa filamu hiyo, unaofanyika viwanja vya Leaders Club, Dar es Salaam kesho kutwa. Kulia ni mratibu wa filamu hiyo, Husna Chobis na katikati ni msanii wa Bongo Movie, Esha Salim Buhet. 
Mwandaaji wa filamu ya Mateso Ughaibuni, Mkurugenzi wa Kampuni ya Dida Fasion, Khadija Seif (katikati), akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu uzinduzi wa filamu hiyo, unaofanyika viwanja vya Leaders Club, jijini kesho kutwa. Kulia ni Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere na kushoto ni mmoja wa wasanii watakaotumbuiza kwenye uzinduzi huo, Flora Mvungi.
Mwandaaji wa filamu ya Mateso Ughaibuni, Mkurugenzi wa Kampuni ya Dida Fasion, Khadija Seif, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu uzinduzi wa filamu hiyo, unaofanyika viwanja vya Leaders Club, jijini kesho kutwa. Kulia ni Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere na kushoto ni mmoja wa wasanii watakaotumbuiza kwenye uzinduzi huo, Flora Mvungi.
Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie, akijibu maswali ya baadhi ya waandhishi wa habari, wakati walipouliza masuala mbalimbali kuhusu uzinduzi wa filamu hiyo.
Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie, wakijaza fomu za kujiunga na Mfukowa PSPF, wakati wa mkutano huo na waandhi wa habari, wakati wa hafla ya kutangaza uzinduzi wa filamu hiyo ya Mateso Ughaibuni, Dar es Salaam leo. Filamu hiyo, itazinduliwa kesho kutwa jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment