Ofisa Habari wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Bw. Dennis Kiilu akimueleza jambo Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Bw. Assah Mwambene (hayupo pichani) wakati wa Ziara ya Mkurugenzi huyo katika Vitengo vya Mawasiliano Serikalini yenye lengo la kuangalia utendaji kazi na ufanisi wa vitengo hivyo katika utekelezaji wa majukumu yake ya kila siku leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Ofisa Habari wa Wizara hiyo Bi. Fatuma Malende. (Picha zote na Hassan Silayo, Maelezo)
Mkurugenzi
wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah Mwambene akiwaonesha Maofisa Habari wa
Wizara ya Maji (hawapo pichani), namna Matumizi ya Mtandao wa Kijamii wa Twitter
unavyofanya kazi hasa katika nguvu na kasi ya upashaji habari kwenye jamii, wakati
wa Ziara ya Mkurugenzi huyo katika Vitengo vya Mawasiliano Serikalini yenye
lengo la kuangalia utendaji kazi na ufanisi wa vitengo hivyo katika utekelazaji
wa majukumu yake ya kila siku leo Jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya Maofisa Uhusiano Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), kutoka kushoto ni Neema
Mbuja, Salama Kasamalu na Henry Kilasila wakimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya
Habari (MAELEZO) Bw. Assah Mwambene (hayupo pichani) wakati wa Ziara ya
Mkurugenzi huyo katika Vitengo vya Mawasiliano Serikalini leo Jijini Dar es
Salaam.
Kaimu Meneja Uhusiano wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Bw. Adrian Severin akimueleza jambo Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Bw. Assah Mwambene (hayupo pichani), wakati wa Ziara ya Mkurugenzi huyo katika Vitengo vya Mawasiliano Serikalini yenye lengo la kuangalia utendaji kazi na ufanisi wa vitengo hivyo katika utekelzaji wa majukumu yake ya kila siku leo, Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
wa Idara ya Habari (MAELEZO), Bw. Assah Mwambene akieleza jambo kwa Maofisa Uhusiano
wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), (baadhi hawapo pichani) wakati wa Ziara
ya Mkurugenzi huyo katika Vitengo vya Mawasiliano Serikalini yenye lengo la
kuangalia utendaji kazi na ufanisi wa vitengo hivyo katika utekelzaji wa majukumu
yake ya kila siku leo, Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Kaimu Meneja Uhusiano wa
Shirika hilo Bw. Adrian Severin na katikati ni Ofisa Uhusiano wa Shirika hilo,
Bw. Henry Kilasila.





No comments:
Post a Comment