TANGAZO

Thursday, May 2, 2013

Ziara ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Mkoa wa Kaskazini Unguja

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akivalishwa shada la mauwa na chipukizi, Ashura Salum Sheha, wakati wa makaribisho, alipoanza ziara ya kuimarisha Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kaskazini A, Mkoa wa Kaskazini Unguja leo. (Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu)

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, 

akisalimiana na viongozi mbalimbali alipowasili Ofisi ya CCM 

Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati alipoanza ziara ya kuimarisha 

Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa huo leo.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, 

akiwapungia mkono  viongozi mbalimbali na wanachama wa 

Chama hicho, alipowasili Ofisi ya CCM Mkoa wa Kaskazini 

Unguja, akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama Mkoa wa 

Kasakazini leo.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, 

akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Vuai Ali 

Vuai, Ofisi ya CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja, akiwa katika  ziara 

ya kuimarisha Chama katika Mkoa wa Kasakazini, Unguja leo.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, 

akifunua pazia kuweka jiwe la msingi la maskani ya Dk. Salmin 

Amour Juma, huko Moga, Vibanda kumi na mbili, akiwa katika  

ziara ya kuimarisha Chama Mkoa wa Kasakazini Unguja leo.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, 

akizungumza na wananchi pamoja na wanachama wa CCM katika  

maskani ya Dk. Salmin Amour Juma, huko Moga Vibanda kumi na 

mbili, akiwa katika  ziara ya kuimarisha Chama Mkoa wa 

Kasakazini Unguja leo.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na

Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, 

akifunua pazia kuweka jiwe la msingi la Tawi la CCM, Kijini Jimbo 

la CCM Matemwe, Mkoa wa Kaskazini Unguja leo, akiwa katika  

ziara ya kuimarisha Chama Mkoa wa Kasakazini Unguja leo.

Katibu Mwenezi wa CCM, Jimbo la Matemwe, Mossi Mati

Nadhari, akisoma risala wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi 

lililowekwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa 

Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali 

Mohamed Shein, akiwa katika  ziara ya kuimarisha Chama Mkoa 

wa Kasakazini Unguja leo.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, 

akizungumza na wananchi, wanachama wa Chama Cha Mapinduzi 

wa Kijiji cha Kijini, Jimbo la Matemwe, ambapo aliwafafanulia jinsi 

Katiba ya Chama inavyolekeza, akiwa katika ziara ya kuimarisha 

Chama Mkoa wa Kasakazini Unguja leo.

No comments:

Post a Comment