TANGAZO


Friday, May 3, 2013

Wizara ya Mambo ya Nje, Fedha, Utumishi, Shirika la Posta, Benki ya Posta, SSRA, NHIF walivyokoleza maadhimisho ya Siku ya wafanyakazi Duniani 'May Day' jijini Dar es Salaam

Bendi ya Polisi ikiongoza maandamano ya wafanyakazi katika kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani 'May Day,' mkoani Dar es Salaam juzi. (Pichza zote na Kassim Mbarouk)

Wafanyakazi wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), wakipita kwa maandamano mbele ya mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi duniani 'May Day',  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam juzi.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), wakipita kwa maandamano mbele ya mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi duniani 'May Day',  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam juzi.

Baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, wakipita kwa maandamano na bango lao, mbele ya mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi duniani 'May Day',  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam juzi.

Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, wakipita kwa maandamano, mbele ya mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi duniani 'May Day',  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam juzi.

Baadhi ya wafanyakazi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, wakipita kwa maandamano na bango lao, mbele ya mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi duniani 'May Day',  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam juzi.

Baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, wakipita kwa maandamano huku wakiwa wamejifunika miavuli yao, mbele ya mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi duniani 'May Day',  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam juzi.

Baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Idara ya Uhamiaji, wakipita kwa maandamano, mbele ya mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi duniani 'May Day',  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam juzi.

Baadhi ya wafanyakazi wa Chuo cha Maendeleo na Usimamizi wa Maji, wakipita kwa maandamano na bango lao, mbele ya mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi duniani 'May Day',  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam juzi.


Baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Kilimo na Mifugo, wakiwa katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani 'May Day' Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam juzi.

Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kupita kwa maandamano, mbele ya mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi duniani 'May Day',  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam juzi.
 Baadhi ya wafanyakazi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, wakiwa katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi duniani 'May Day',  Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam juzi.

Wafanyakazi wa Mamlaka wa Usimamizi na Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), wakipita kwa maandamano na bango lao, mbele ya mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi duniani 'May Day',  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam juzi.

Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka wa Usimamizi na Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA),  wakipita kwa maandamano, mbele ya mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi duniani 'May Day',  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam juzi.

Wafanyakazi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), wakipita kwa maandamano, mbele ya mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi duniani 'May Day',  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam juzi.

Baadhi ya wafanyakazi wa Mahakama, wakipita kwa maandamano, huku wakipunga mikono, mbele ya mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi duniani 'May Day',  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam juzi.

Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), wakipita kwa maandamano, huku wakipunga kofia zao, mbele ya mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi duniani 'May Day',  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam juzi.
Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakipita kwa maandamano na bango lao, mbele ya mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi duniani 'May Day',  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam juzi.

Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakipita kwa maandamano na bango lao, mbele ya mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi duniani 'May Day',  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam juzi.
Baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Fedha 'Hazina', wakipita kwa maandamano, mbele ya mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi duniani 'May Day',  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam juzi.

Walimu wakipita kwa maandamano mbele ya mgeni rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, katika maadhimisho hayo.

Wafanyakazi wa Bima ya Afya (NHIF), wakipita kwa maandamano na bango lao, mbele ya mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi duniani 'May Day',  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam juzi.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, akiwa pamoja na baadhi ya viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi mkoani Dar es Salaam, akiwapungia wafanyakazi wa Wizara, Mashirika na Sekta mbalimbali waliokuwa wakipita kwa maandamano mbele yake katika kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani 'May Day' mkoani Dar es Salaam juzi.

Wafanyakazi wa Mamlaka wa Usimamizi na Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), wakifurahia Siku ya May Day katika maadhimisho hayo, viwanjani hapo juzi.

Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kupita kwa maandamano, mbele ya mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi duniani 'May Day',  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam juzi.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, akiwahutubia wafanyakazi mara baada ya maandamano yao ya kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani 'May Day' mkoani Dar es Salaam juzi. 

No comments:

Post a Comment