TANGAZO


Tuesday, December 13, 2011

Makabidhiano ya nyaraka

Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya (WHO), Dk. Rufaro (kulia), akimkabidhi hati za makabidhiano ya vifaa vya Afya ya mama na mtoto, Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Blandina Nyoni katika hafla hiyo.

No comments:

Post a Comment