Mkuu wa wilaya ya Iringa Mhe. Richard Kasesela (kushoto) akifurahia burudani iliyokuwa ikitolewa na msanii wa Muziki wa Singeli, Dulla Makabila wakati wa Tamasha la Amka Kijana, Tuijenge Iringa Yetu lililofanyika uwanja wa MwembeTogwa, Iringa mwishoni mwa wiki iliyopita.
Msanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda nae hakuwa nyuma kutoa burudani.
Vijana wakishangilia wakati Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mhe. Richard Kasesela akiwatambulisha wasanii wa Bongo Movie waliofika katika Tamasha la Amka Kijana, Tuijenge Iringa Yetu lililofanyika Uwanja wa Mwembe Togwa, Iringa mwishoni mwa wiki iliyopita.
Msanii wa Bongo Movies, Jackline Wolper toa burudani.
No comments:
Post a Comment