Jumapili itakuwa ni siku ambayo haitasahaulika kwa wachezaji wa timu ya mpira wa kikapu ya Team England -na hususan kwa wapenzi hao wawili - hawataisahau kamwe.
Baada ya rimu ya wanawake ya England kuichapa Msumbiji katika michezo ya Jumuiya ya Madola , Upande wa timu ya wanaume ikailaza ile ya Cameroon.
Lakini sherehe zilikua bado hazijaanza pale.
Wakati timu zote mbili zilipokusanyika uwanjani kusherehekea ushindi wao, Mchezaji wa tim ambacho kingetokea.
Baada ya ule mkusanyiko wa wachezaji kusambaratika mpenzi wa Jones -Jamell Anderson alikuwa amepiga magoti , huku ameshikilia pete ya uchumba - Jones hakuwa na budi ila kusema ndio nakubali.
- Mkenya kukosa Michezo ya Madola juu ya mafunzo ya jeshi
- Mkenya kukosa Michezo ya Madola juu ya mafunzo ya jeshi
Alipoulizwa ni kwanini alichagua eneo hilo kumuomba mchumba Jones, Anderson alisema : "Sote tulifanya juhudi kubwa kuwepo hapa.
"Mpira wa kikapu ni sehemu kubwa ya uhusiano wetu kwa hiyo ilikuwa na maana kubwa kumvisha pete ya uchumba hapa ."
Jonesatarejea tena uwanjani Jumatatu wakati ambapo timu ya wanawake ya England itakapokabiliana na Australia katika mchezo wa fainali.
GETTY IMAGES
GETTY IMAGES

No comments:
Post a Comment