Pages

Wednesday, March 28, 2018

KAMATI YA BUNGE YA UONGOZI YAKUTANA LEO MJINI DODOMA

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiongoza kikao cha kamati ya uongozi kilicholenga Mambo muhimu yaliyojitokeza kwenye kamati za kisekta wakati wa kujadili utekelezaji wa Bajeti za Wizara Mbali mbali kilichofanyika leo tarehe 28 Machi, 2018 katika ofisi za Bunge Mjini Dodoma. kikao hicho pia kilihudhuriwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (kushoto kwake) alieambatana na baadhi ya Mawaziri 
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza wakati wa  kikao cha kamati ya uongozi kilicholenga Mambo muhimu yaliyojitokeza kwenye kamati za kisekta wakati wa kujadili utekelezaji wa Bajeti za Wizara Mbali mbali kilichofanyika leo tarehe 28 Machi, 2018 katika ofisi za Bunge Mjini Dodoma. kikao hicho pia kilihudhuriwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (kushoto kwake) alieambatana na baadhi ya Mawaziri 
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (kushoto) akimsikiliza Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt.Tulia Ackson (kulia) akizungumza wakati wa kikao cha kamati ya uongozi kilicholenga Mambo muhimu yaliyojitokeza kwenye kamati za kisekta wakati wa kujadili utekelezaji wa Bajeti za Wizara Mbali mbali kilichofanyika leo tarehe 28 Machi, 2018 katika ofisi za Bunge Mjini Dodoma. kikao hicho pia kilihudhuriwa na Baadhi ya Mawaziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiongoza kikao cha kamati ya uongozi kilicholenga kupokea mapendekezo ya ratiba ya Mkutano wa kumi na Moja wa Bunge kilichofanyika leo tarehe 28 Machi, 2018 katika ofisi za Bunge Mjini Dodoma.(Picha zote na Ofisi ya BUNGE)

No comments:

Post a Comment