TANGAZO


Sunday, February 11, 2018

SIMBA ILIVYOIPIGA GENDARMERIE 4-0 KOMBE LA SHIRIKISHO BARANI AFRIKA HATUA ZA AWALI

Mashabiki wa Simba wakifuatilia mchezo kati ya timu yao dhidi ya Gendarmerie. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Timu zikiingia Uwamjani, Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo jioni.
Timu zikiingia Uwamjani, Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo jioni. 
Mgeni rasmi Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaji Ali Hassan Mwinyi akikagua timu ya Gendarmerie.  
Mgeni rasmi Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaji Ali Hassan Mwinyi akikagua timu ya Simba. 

Kikosi cha Gendarmerie 
Kikosi cha Simba  
Wachezaji wa Simba wakishangilia bao la kwanza lililofungwa na Said Hamis Ndemla katika dakika ya pili ya mchezo. 
Emmanuel Okwi akiudhibiti mpira. 
Okwi akikwatuliwa na Abdorahim Mohamed wa Gendarmerie.
Shomari Kapombe akimtoka Abdorahim Mohamed wa Gendarmerie.  
Wacheaji wakiwania mpira. 
Nahodha John Bocco wa Simba akishangilia bao lake aliloifungia timu yake ya Simba. 
John Bocco (kushoto), akiudhibiti mpira. 
John Bocco (kushoto) wa Simba akiwania mpira na  Moussa Uoussouf (2) wa Gendarmerie. 
John Bocco (kushoto) wa Simba akimtoka Moussa Uoussouf wa Gendarmerie.  
John Bocco wa Simba akishangilia bao lake la pili likiwa ni la tatu kwa timu yake ya Simba dhidi ya Gendarmerie.  
Mashabiki wa Simba wakishangilia bao la 3 la timu yao hiyo, lililofungwa na John Bocco. 
Ubao ukionesha Simba 3, Gendarmerie 0.
Ahsante Kwasi wa Simba akimtoka Osman Mohamed wa Gendarmerie.  
Wachezaji wa Simba wakishangilia bao la nne lililofungwa na Emmanuel Okwi (7) katika mchezo huo.
Wachezaji wa Simba wakimpongeza Emmanuel Okwi (7) baada ya kuifungia timu yao bao la 4 katika mchezo huo. 
Ubao wa matangazo ukionesha Simba 4, Gendarmerie 0.
Mashabiki wa Simba wakishangilia bao la 4 la timu yao hiyo, lililofungwa na Emanuel Okwi.  
Wachezaji wa Simba wakifanya mazoezi mara baada ya kumalizika kwa mchezo huo. 
Wachezaji wa Gendarmerie wakitoka uwanjani mara baada ya kumalizika kwa mchezo huo. 

No comments:

Post a Comment