TANGAZO


Thursday, February 8, 2018

SERIKALI YA UINGEREZA : MSHIRIKA KATIKA PROGRAMU ZA MABADILIKO KATIKA UTUMISHI WA UMMA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akiwa katika kikao ofisini kwake Dodoma na Balozi wa Uingereza nchini Mhe. Sarah Cooke.  
Balozi wa Uingereza nchini Mhe. Sarah Cooke (kulia), pamoja na ujumbe wake, wakiwa katika kikao na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) (haonekani pichani), mjini Dodoma.  
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akijadli masuala ya utumishi na utawala bora pamoja Balozi wa Uingereza nchini Mhe. Sarah Cooke, Dodoma.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akiwa katika picha na Balozi wa Uingereza nchini Mhe. Sarah Cooke, pamoja na baadhi ya wajumbe wa kikao, Dodoma.



No comments:

Post a Comment