Lad in Red 2018 limekuwa ni Onyesho la Mwisho kwa Designer mkongwe ambaye ndiye mwanzilishi wa
Onyesho hilo Asya Idarous Khamsin. Kiukweli Jukwaa la mwisho la Lady in Red
lilikuwa na mvuto, kwa taswira ya mbali inaonyesha kabisha ni jukwaa mabalo
lilikuwa na ushirikiano mkubwa sana wa wadau na wanamitindo wengine toauti
ilivyo zoeleka.
Mwisho ni pongenzi kwa Asya kwa kuamua kuwaachia jukwaa
wanae yaani Designers walio lelewa na Lady in Red, maana angekuwa na roho mbaya pengine Onyesho lingeishia mitini
Hongera sana Asya.
No comments:
Post a Comment