Pages

Wednesday, December 20, 2017

WAUGUZI WAANDALIWA SEMINA YA MAFUNZO YA UADILIFU, MAADILI YA UUGUZI WAKATI WA UTOAJI HUDUMA ZA AFYA NCHINI

Wauguzi Wakuu toka Mikoa mbalimbali wakifuatilia mada zinazowasilishwa kwenye mafunzo hapo. Mafunzo hayo yana lenga kuwakumbusha uadilifu na maadili ya uuguzi wakati wa utoaji huduma za afya nchini. 
Mkurugenzi wa Idara ya Uuguzi na Ukunga kutoka Wizara ya Afya Gustav Moyo akiwasilisha mada wakati wa mafunzo ya maadili kwa wauguzi wakuu wa Mikoa na hospitali za Kitaifa na za Rufaa za kanda unaoendelea chuo cha Uuguzi Mirembe Mkoani Dodoma. 

Baadhi ya wauguzi wa mikoa wakijadili kwenye makundi mikakati ya nini kifanyike katika kutekeleza majukumu yao ili kuondokana na malalamiko ya taaluma yao kutoka kwa wananchi. 
Wauguzi wakuu wakiendelea na kazi kwenye makundi. 
Mkurugenzi wa Uuguzi na Ukunga Gustav Moyo akiongea na wauguzi wakuu wa Mikoa kwenye mafunzo hayo.

No comments:

Post a Comment