TANGAZO


Monday, December 25, 2017

WAKRISTO JIJINI MWANZA WAUNGANA KUSHEREHEKEA SIKUKUKUU YA KRISMASI 2017

NI Jumatatu Disemba 25,2017 ambapo Wakristo kote duniani wanaungana pamoja kusherekea Sikukuu ya Krismasi ambayo ni kuzaliwa kwa Yesu Kristo zaidi ya miaka 2000 iliyopita. Ungana nasi kupata salamu za Krismasi kutoka Jijini Mwanza. 



https://youtu.be/GxpMocc9swc

No comments:

Post a Comment