Kutoka kushoto, Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Mhe. Jasem Al-Najem, Naibu Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Mhe. Stella Ikupa na Mwenyekiti wa Dr. Amon Mkoga Foundation, Amon Mkoga. Ubalozi wa Kuwait umetoa vyerehani, fimbo za kutembelea walemavu na baiskeli za walemavu vyote vikiwa na thamani ya shilingi milioni 18 kwa watu wenye mahitaji maalum kutoka mkoa wa Tabora.


No comments:
Post a Comment